Amekuwa akifanya hivyo kila anapokuwa jimboni kwake ikiwa ni ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kufuatilia matumizi sahihi ya fedha zinazotolewa na serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.
Aidha,Mhe.Msongwe amekuwa akitumia nafasi hiyo kufafanua mambo kadhaa yanayopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa