• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

KAMATI YA FUM YAKAGUA MRADI WA UJENZI WA MADARASA MAWILI KATIKA SHULE YA MSINGI IKINGA

Imewekwa: October 21st, 2024

Kamati ya fedha, Uongozi na Mipango (FUM), katika Halmashauri ya Wilaya ya Ileje imetembelea na kukagua Mradi wa Ujenzi wa Vyumba Viwili vya Madarasa katika Shule ya Msingi Ikinga iliyopo katika Kata ya Ikinga wilayani hapa.


Mradi huo wa ujenzi wa vyumba vya madarasa, unatekelezwa kwa thamani ya shilingi milioni 40 kutoka Serikali kuu na unasimamiwa na Halmashauri yetu, ambapo mpaka sasa umefikia asilimia 60 ili kukamilika kwake na kuanza kutoa huduma ya Elimu katika kata hiyo .


Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango katika Halmashauri ya wilaya ileje, inaendelea kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika wilaya hii, sambamba na kutoa ushauri ili kuwezesha miradi hiyo kukamilika kwa wakati.

Matangazo

  • HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA May 26, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 09, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 1 MEI HADI 7 MEI 2025 April 28, 2025
  • TANGAZO LA KUFANYA USAFI SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR April 25, 2025
  • Tembelea Zote

Mpya

  • UZINDUZI WA UJENZI WA BARABARA ISONGOLE – ISOKO WILAYANI ILEJE

    June 13, 2025
  • Wazazi Watakiwa Kuwalinda Watoto na Kuwezesha Ndoto Zao

    June 13, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Songwe Ampongeza Afisa wa Maendeleo kwa Ukusanyaji Bora wa Marejesho ya Mikopo

    June 10, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Songwe Aipongeza Halmashauri ya Ileje kwa Kupata Hati Safi

    June 10, 2025
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa