• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Msingi
      • Mipango, Tathimini na Takwimu
      • Elimu Sekondari
      • TASAF
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Fedha
      • Utamaduni na Michezo
      • Mawasiliano ya Serikali
      • Usimamizi wa Taka Ngumu na Usafi wa mazingira
    • Kata
      • Isongole
      • Itumba
      • Bupigu
      • Mbebe
      • Chitete
      • Malangali
      • Ikinga
      • Kafule
      • Kalembo
      • Lubanda
      • Luswisi
      • Ibaba
      • Itale
      • Ndola
      • Ngulilo
      • Mlale
      • Ngulugulu
      • Sange
    • Taasisi za Serikali
    • Mashirika ya Umma
    • Ofisi ya Mkuu Wa Wilaya
    • Ofisi ya Mbunge
    • Vyama vya Siasa
    • Viongozi wa Dini na Mila
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari za mkoa
    • Habari za kitaifa
    • Habari za kimataifa

CCM WAKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI

Imewekwa: June 23rd, 2023

Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Songwe inaendelea na ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya zake zote kwa lengo la kujionea namna Ilani ya Uchaguzi inavyotekelezwa.

Katika ukaguzi huo wilayani Ileje imefurahishwa na baadhi ya miradi na kukerwa na miradi mingine kutokana na inavyojengwa.

Kamati hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti chama hicho mkoa Komredi Radiwelo Mwampashi imeweza kukagua jumla ya miradi sita ikiwemo ya elimu katika Kata ya Chitete,afya hospitali ya Itumba,umeme katika Kata ya Mlale mradi wa maji Ntembo na barabara Kata ya Ikinga.

Kwenye ujenzi wa shule ya msingi Ikumbilo kupitia fedha za BOOST imeagiza uongozi wa wilaya kujipanga upya kwani kasi si hairidhisha ikilinganishwa na maeneo mingine katika mkoa

Kwenye mradi wa maji Ntembo wajumbe walifurahishwa  ubora wa mradi pamoja na maelezo ya mkandarasi wakiwataka viongozi wa wilaya kuhakikisha wanatoa ushirikiano wa kutosha kwa wakandarasi kama walivyofanya kwa huyo wa mradi wa maji.

Mradi mwengine uliowafurahisha wajumbe ni ule wa ujenzi wa barabara ya Landani-Kiwira kutoka kwenye machimbo ya makaa ya mawe Kabulo kuelekea kiwanda cha makaa ya mawe Kiwira km 5 .

Kilichowafurahisha wajumbe ni namna mkandarasi anavyofanya kazi kwa umakini huku akishirikisha jamii inayozunguka mradi kwa kutoa ajira za muda.

Kwenye hospitali ya Itumba ambayo ni ya wilaya mambo hayakwenda vema kwani Mwenyekiti wa CCM mkoa alitoa maagizo mazito kwa viongozi wa wilaya huku akikemea tabia ya uzembe kwa baadhi ya watumishi wanaofanya kazi kwa mazoea. 

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA ILEJE DC APRILI,17,2023 April 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA KWA WENYE SIFA HILI HAPA June 23, 2023
  • Orodha ya waliopata viwanja Isongole Ileje hii hapa September 13, 2022
  • Tembelea Zote

Mpya

  • CCM ILEJE WAKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI

    July 16, 2023
  • WAJASILIAMALI ILEJE WAHAMIA ENEO LA VIWANDA

    July 01, 2023
  • Mnyama nyati azua taharauki Ileje

    June 30, 2023
  • CCM WAKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI

    June 23, 2023
  • Tembelea Zote

Video

DD
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • TAUSI PORTAL

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa