Hatimaye nauli zashuka kwa asilimia 50 kutoka 4,000/- hadi 2,000/- hii na kutokana na kuanza kutumika kwa barabara ya lami kutoka Mpemba hadi Isongole Ileje Km 53.