Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutumia taaluma zao katika kuujenga uchumi wetu.
Aliyasema hayo leo mapema wakati akipokea ripoti ya CAG,akitahadharisha watalaam wa ukaguzi wa hesabu kutokimbilia kukagua hesabu za mataifa mengine kwa lengo la kujipatia sifa huku nyumbani yaani Tanzania mambo yakienda vibaya.
Katika kikao hicho ameruhusu nafasi za ajira zilzoombwa CAG ambazo ni zaidi ya 20 kuzibwa mara moja ili kuongeza ufanisi.
Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa