• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Seconadary Education
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Tathmini
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Taaluma ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari

SACCOS ya Watumishi Ileje yatoa mikopo ya zaidi ya milioni 700 kwa wananchama

Imewekwa: August 31st, 2020

Zaidi ya Shilingi Milioni 700 za kitanzania  zimekopeshwa kwa wanachama wa Chama  cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe tangu 2016

George Kibona mwenyekiti wa chama hicho alibainisha kuwa mwaka 2016 zilikopeshwa jumla ya Shilingi 180,200, 000, mwaka 2017 milioni 177,810,000, 2018 zilikopeshwa milioni 176,140,000  

Kibona ameongeza kuwa mwaka 2019 jumla ya shilingi milioni 162, 2400 000 zilikopeshwa huku tangu Januari hadi Juni mwaka huu zikikopeshwa milioni 29,533 519 huku zaidi ya wanachama 160 wakiendelea kunufaika na uwepo wa chama hicho.

Mwenyekiti huyo,ameongeza kuwa wamekuwa wakitoa huduma bora kwa wanachama kiasi cha kuweza kutunukiwa ngao ya uendeshaji bora wa SACCOS iliyotolewa 2018 na Tume ya Ushirika Tanzania akitoa wito wa watumishi wengine kujiunga na chama hicho.

Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa tangu kuanzishwa kwake mnamo 1994 zaidi ya shilingi Bilioni  1na Milioni 600 zimekopeshwa kwa wananchama wake na kuwawezesha kujenga nyumba za kuishi,kulipa ada za shule na kuanzisha shughuli za ujasiliamali.

Gaspalina Mwakabuta mmoja wa wanachama amesema kuwa amenufaika na SACCOS hiyo kwa kulipa ada za shule za watoto,kuboresha makazi na kuongeza mtaji kwenye ujasiliamali.

 Mafanikio hayo yanakuja sanjali na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM  ya 2015 iliyolenga kuhakikisha kuwa shughuli zote zenye mwelekekeo wa ushirika zinapewa msukumo stahiki wa kuhamasisha na kusimamia kwa ngyuvu uanzishaji wa vikundi vya ushirika kama vile SACCOS na VICOBA

Matangazo

  • MALIPO YA WALIMU TAYARI,ORODHA HII HAPA January 08, 2021
  • MAJINA YA WATAKAOHUDHURIA SEMINA YA USIMAMIZI WA UCHAGUZI MKUU JIMBO LA ILEJE 2020 HAYA HAPA October 21, 2020
  • Vituo vya semina kwa makarani Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ileje October 23, 2020
  • Vituo vya semina kwa Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi wasaidizi,(hawa ndo wanaotakiwa huhudhuria) October 23, 2020
  • Tembelea Zote

Mpya

  • DC wa Ileje asamehe wezi wa miche ya miti,asema somo limeeleweka

    January 24, 2021
  • "Msizuie usajili wanafunzi wa Kidato cha Kwanza kwa kukosa sare" DC Ileje

    January 07, 2021
  • DED ILEJE ARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA WAGONJWA WA NJE "OPD"

    December 24, 2020
  • Songwe wajiandaa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi

    December 14, 2020
  • Tembelea Zote

Video

Mhe.Rais Magufuli awataka watalaam kutumia taaluma zao hapa nchini ,aruhusu ajira mpya
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • Matokeo ya kidato cha nne 2017
  • ILEJE SECONDARY SCHOOL
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL /YOUTUBE

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa