• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Seconadary Education
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Tathmini
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Taaluma ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari

DED wa Ileje apongeza Jeshi la Polisi

Imewekwa: February 19th, 2021

 Ileje Songwe

Jeshi la Polisi Wilayani Ileje mkoani Songwe limepongezwa kwa jinsi linavyotoa ushirikiano katika ukusanyaji wa mapato ya ndani.

Pongezi hizo zimetolewa na Ndg.Haji Mnasi Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo usiku wa kuamkia leo Ijumaa 18/2/2021 wakati wa kufanya doria ya kufuatilia wanaojaribu kukwepa kulipa ushuru wanapokuwa wakisafirisha bidhaa mbalimbali zikiwemo mbao na mazao.

Akizungumza na Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo SPS Abdi  Mchome katika Kitongoji cha Penzu kilichopo  Isongole ambapo gari la mizigo aina ya Fuso lilibainika kuwa na mbao zilizozidi idadi zikilinganishwa na idadi iliyoandikwa kwenye stakabadhi Mnasi amesema kuwa msaada wa polisi waliokuwa doria chini ya OCD  umewezesha kukamatwa kwa gari hilo.

Mnasi  ameongeza kuwa halmashauri hiyo inahitaji sana wawekezaji na wafanyabiashara ili kuongeza mapato ya Halmashauri lakini haitawavumilia wafanyabishara wadanganyifu.

Akizungumzia kuhusu matukio hayo OCD wa Wilaya hiyo amewataka wamiliki wa vyombo vya usafiri kuhakikisha wanajali na kuzingatia sheria za barabarani ili kuwalinda wao wenyewe na watumiaji wengine wa barabara.

Amesema kuwa licha ya jeshi hilo kusaidia katika kukusanya mapato bado watahakikisha  kuwa vyombo hivyo vinakuwa salama ili kulinda usalama wa abiria na mali zao

Matangazo

  • MAJINA YA WATAKAOHUDHURIA SEMINA YA USIMAMIZI WA UCHAGUZI MKUU JIMBO LA ILEJE 2020 HAYA HAPA October 21, 2020
  • Walimu wafuatao wafike Ofisi za TSC Wilaya kuanzia tarehe 23/02/2021 - 10/03/2021 February 22, 2021
  • Vituo vya semina kwa makarani Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ileje October 23, 2020
  • Vituo vya semina kwa Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi wasaidizi,(hawa ndo wanaotakiwa huhudhuria) October 23, 2020
  • Tembelea Zote

Mpya

  • DED wa Ileje apongeza Jeshi la Polisi

    February 19, 2021
  • Wanafunzi Wenye mahitaji maalum wagawiwa vifaa

    February 17, 2021
  • DC wa Ileje asamehe wezi wa miche ya miti,asema somo limeeleweka

    January 24, 2021
  • "Msizuie usajili wanafunzi wa Kidato cha Kwanza kwa kukosa sare" DC Ileje

    January 07, 2021
  • Tembelea Zote

Video

Mhe.Rais Magufuli awataka watalaam kutumia taaluma zao hapa nchini ,aruhusu ajira mpya
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • Matokeo ya kidato cha nne 2017
  • ILEJE SECONDARY SCHOOL
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL /YOUTUBE

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa