• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Matangazo |
Ileje District Council
Ileje District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Core Values
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Seconadary Education
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
      • Mipango, Takwimu na Tathmini
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Taaluma ya Habari na Mawasiliano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vituo vya Utaliii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Fedha
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha
    • Ratiba ya Vikao
    • Kuonana na Mh. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyothibitishwa
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari

DED ILEJE ARIDHISHWA NA UJENZI WA MIRADI YA MAENDELEO

Imewekwa: December 8th, 2020

Katika kuhakikisha ujenzi wa miradi ya maendeleo unakwenda  vema Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje Mkoani Songwe Ndugu Haji Mnasi ametembelea  baadhi ya miradi hiyo na kupongeza hatua zilizofikiwa.

Miradi aliyotembelea ni pamoja na ukarabati wa vyoo vya standi ya Itumba ambayo ni Makao Makuu ya Wilaya,ujenzi wa Kituo cha Afya katika Kata ya Ndola,pamoja kushudia ubomoaji wa baadhi vyumba vya madarasa ili kupisha ujenzi mpya katika Shule ya Msingi Itale.

Akiwa katika stendi ya Itumba kiongozi huyo alimwagiza Afisa Mtendaji wa Kata hiyo kuhakikisha anakamilisha ukarabati huo ili kuwaondolea kero wananchi na kuepusha uwezekano wa kutokea kwa milipuko ya magonjwa .

Akiwa katika kata ya Itale ameelezwa na Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Bi Mary Konga kuwa mapema leo tangu saa 12.00 zaidi ya wakazi 100 wa kijiji cha Itale wamefika shuleni hapo na kushirika ubomoaji wa vyumba viwili vya madarasa ili kupisha ujenzi mpya.

Pia akiwa kwenye shule shikizi ya Igwilizya iliyo chini ya Shule ya Msingi Itale pia alifurahishwa kwa kasi ya ujenzi pamoja na ubora wa majengo.

Viongozi wa kijiji hicho wamepongeza serikali kwa jinsi inavyotoa pesa kwaajili ya miundombinu ya shule hali waliyoielezea kuwa itachangia kuinia kiwango cha elimu huku wakiomba serikali iendelee kutoa ajira kwa walimu ili kuziba mapengo yaliyiachwa na wastaafu wengi.

Pia ziara hiyo ilimwezesha kufika hadi kwenye Shule Binafisi ya Shangwale iliyopo katika Kijiji cha Iwala na kukutana na uongozi wa shule hiyo kasha akawapongeza kwa jinsi wanavyoshiriki katika kuwaendeleza kielimu watoto wa Ileje na Watanzania kwa ujumla.

Mkuu wa shule hiyo Mwl.Clement Jewe alimweleza Mkurugenzi huyo kuwa licha ya shule  hiyo kufanya vizuri katika mitihani mbalimbali bado haijafikiwa na umeme wa gridi ya taifa.

Hadi sasa wilaya ya Ileje ina jumla ya shule za sekondari 22 zikiwemo za binafisi tatu ambazo ni Consolata,Mbagatuzinde pamoja hii ya Shangwale ilioanzishwa miaka ya hivi karibuni.

Matangazo

  • MALIPO YA WALIMU TAYARI,ORODHA HII HAPA January 08, 2021
  • MAJINA YA WATAKAOHUDHURIA SEMINA YA USIMAMIZI WA UCHAGUZI MKUU JIMBO LA ILEJE 2020 HAYA HAPA October 21, 2020
  • Vituo vya semina kwa makarani Uchaguzi Mkuu Jimbo la Ileje October 23, 2020
  • Vituo vya semina kwa Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi wasaidizi,(hawa ndo wanaotakiwa huhudhuria) October 23, 2020
  • Tembelea Zote

Mpya

  • DC wa Ileje asamehe wezi wa miche ya miti,asema somo limeeleweka

    January 24, 2021
  • "Msizuie usajili wanafunzi wa Kidato cha Kwanza kwa kukosa sare" DC Ileje

    January 07, 2021
  • DED ILEJE ARIDHISHWA NA UJENZI WA JENGO LA WAGONJWA WA NJE "OPD"

    December 24, 2020
  • Songwe wajiandaa kutekeleza Ilani ya Uchaguzi

    December 14, 2020
  • Tembelea Zote

Video

Mhe.Rais Magufuli awataka watalaam kutumia taaluma zao hapa nchini ,aruhusu ajira mpya
Video Zaidi

Tovuti Mashuhuri

  • UTUMISHI WA UMMA
  • OR - TAMISEMI
  • Songwe Region
  • Matokeo ya kidato cha nne 2017
  • ILEJE SECONDARY SCHOOL
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL FACEBOOK
  • ILEJE DISTRICT COUNCIL /YOUTUBE

Kurasa za Karibu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

writingMasterThesis

Ramani ya Mahali

Wasiliana Nasi

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki Miliki Haki Zote Zimehifadhiwa